3, ఆగస్టు 2016, బుధవారం

Njia rahisi ku download video za Youtube kwenye simu yako



Mpenzi msomaji watu wengi wamekua wakipata shida namna ya kupakua (download) video kutoka mtandao wa Youtube, huenda hata
wewe ukawa ni mmoja ya watu wanaopata shida kupakua video. Baadhi ya watu wametumia applications mbali mbali lakini hazijawasaidis kitu.

Hapa fuata hatua chache tu kuweza kupakua uipendayo kutoka Youtube.
1.Kwanza fungua browser yako na uingize anuani-www.youtube.com
2.Ikifunguka click au bofya kwenye video unayotaka kuipakua.
3.Baada ya hapo kati ya YOU na TUBE andika neno MAGIC ambapo itasomeka Youmagictube kisha ubonyeze enter


5.Itakupeleka katika page nyingine ambapo utaona neno 'download' video kwenye kibox ambapo una click halafu utaona video ikiwa imewekwa katika format mbali mbali unachagua unayotaka, unaweza hata kuchagua audio format.






Size ya video unayotaka kupakua inatofautiana kulingana na format kwa mfano kama unataka video yenye 720p saizi itakua kubwa kuliko video ya aina hiyo hiyo ambayo ipo kwenye 480p(webm) au 360p(mp4) au 3gp.

6.Kisha utaona neno 'click here' ili kupakua click neno hilo.



Njia nyingine rahisi ni kuongeza neno "ss" kabla ya neno "youtube"
Mfano: original: https://m.youtube.com/watch
          Iliyobadilishwa: https://m.ssyoutube.com/watch


0 కామెంట్‌లు:

కామెంట్‌ను పోస్ట్ చేయండి