3, ఆగస్టు 2016, బుధవారం

Inawezekana unatumia komputa au simu kila siku lakini hujui maana ya hivi vifupisho



Vifupisho vya maneno ya kompyuta sio vigeni miongoni mwa watu wengi, tumejifunza shuleni. Wastani wa
watumiaji lukuki wa simu na kompyuta wanajua RAM na HDD zinamaanisha nini.

Hata hivyo, kuna maneno mengi ya kompyuta tunakutana nayo kila siku lakini maana zake wengi hatufahamu, kwa hiyo nimekuwekea hapa hii orodha pengine inaweza kukufumbua macho kidogo.

19. IMEI: International Mobile Equipment Identity

18. SIM: Subscriber Identity Module

17. HP: Hewlett Packard

16. CAPTCHA: Completely Automated Public Turing Test To Tell Computers and Humans Apart

15. Blog: Web Log; truncation turned this full name to Blog

14. CAD: Computer Aided Design: AutoCAD was coined buy cementing Auto and CAD

13. WiFi: Wireless Fidelity

12. EDGE: Enhanced Data rates for GSM Evolution

11. 3G: Third Generation; of course 4G is Fourth Generation

10. LTE: Long Term Evolution

9. VPN: Virtual Private Network; OpenVPN means Open-source Virtual Private Network

8. URL: Uniform Resource Locator; it was previously called Universal Resource Locator
7. IP: Internet Protocol

6. Computer: Communication Oriented Machine Purposely Utilized Technical Educational Research a Scholarly Article.

5. Windows: Wide Interactive Network Development for Office Work Solution

4. Yahoo: Yet Another Hierarchical Officious Oracle

3. Google: Global Organization of Oriented Group Language of Earth

2. Virus: Virtually Infected Reputed Utilized Software

1. MODEM: Modulator Demodulator

0 కామెంట్‌లు:

కామెంట్‌ను పోస్ట్ చేయండి